Isa. 32:15 SUV

15 hata roho itakapomwagwa juu yetu kutoka juu; hata jangwa litakapokuwa shamba lizaalo sana; nalo shamba lizaalo sana litakapohesabiwa kuwa msitu.

Kusoma sura kamili Isa. 32

Mtazamo Isa. 32:15 katika mazingira