Isa. 32:2 SUV

2 Na mwanadamu atakuwa kama mahali pa kujificha na upepo, na mahali pa kujisitiri na dhoruba; kama mito ya maji mahali pakavu, kama kivuli cha mwamba mkubwa katika nchi yenye uchovu.

Kusoma sura kamili Isa. 32

Mtazamo Isa. 32:2 katika mazingira