Isa. 32:9 SUV

9 Inukeni, enyi wanawake wenye raha, isikieni sauti yangu; enyi binti za watu msiokuwa na uangalifu, tegeni masikio yenu msikie matamko yangu.

Kusoma sura kamili Isa. 32

Mtazamo Isa. 32:9 katika mazingira