Isa. 33:1 SUV

1 Ole wako uharibuye ila hukuharibiwa, utendaye hila wala hukutendwa hila! Utakapokwisha kuharibu, utaharibiwa wewe; na utakapokwisha kutenda kwa hila, wao watakutenda hila wewe.

Kusoma sura kamili Isa. 33

Mtazamo Isa. 33:1 katika mazingira