Isa. 33:24 SUV

24 Wala hapana mwenyeji atakayesema, Mimi mgonjwa; watu wakaao humo watasamehewa uovu wao.

Kusoma sura kamili Isa. 33

Mtazamo Isa. 33:24 katika mazingira