Isa. 33:9 SUV

9 Nchi inaomboleza, na kulegea; Lebanoni imetahayarika na kunyauka; Sharoni imekuwa kama jangwa; Bashani na Karmeli zimepukutika majani.

Kusoma sura kamili Isa. 33

Mtazamo Isa. 33:9 katika mazingira