Isa. 34:11 SUV

11 Kaati na nungu wataimiliki, bundi na kunguru watakaa huko, naye atanyosha juu yake kamba ya ukiwa na timazi ya utupu.

Kusoma sura kamili Isa. 34

Mtazamo Isa. 34:11 katika mazingira