Isa. 34:2 SUV

2 Maana BWANA ana ghadhabu juu ya mataifa yote, na hasira kali juu ya jeshi lao lote; amewaangamiza kabisa, amewatoa waende kuchinjwa.

Kusoma sura kamili Isa. 34

Mtazamo Isa. 34:2 katika mazingira