Isa. 35:2 SUV

2 Litachanua maua mengi, na kufurahi, naam, kwa shangwe na kuimba; litapewa uzuri wa Lebanoni, utukufu wa Karmeli na Sharoni; watauona utukufu wa BWANA, ukuu wa Mungu wetu.

Kusoma sura kamili Isa. 35

Mtazamo Isa. 35:2 katika mazingira