Isa. 35:4 SUV

4 Waambieni walio na moyo wa hofu, Jipeni moyo, msiogope; tazama, Mungu wenu atakuja na kisasi, na malipo ya Mungu; atakuja na kuwaokoa ninyi.

Kusoma sura kamili Isa. 35

Mtazamo Isa. 35:4 katika mazingira