Isa. 36:13 SUV

13 Kisha yule amiri akasimama akalia kwa sauti kuu kwa lugha ya Kiyahudi, akisema, Lisikieni neno la mfalme mkuu, mfalme wa Ashuru.

Kusoma sura kamili Isa. 36

Mtazamo Isa. 36:13 katika mazingira