Isa. 36:2 SUV

2 Mfalme wa Ashuru akamtuma amiri toka Lakishi hata Yerusalemu, kwa mfalme Hezekia, pamoja na jeshi kubwa. Naye akasimama karibu na mfereji wa birika ya juu, iliyo katika njia kuu ya kuuendea uwanda wa dobi.

Kusoma sura kamili Isa. 36

Mtazamo Isa. 36:2 katika mazingira