Isa. 37:1 SUV

1 Ikawa mfalme Hezekia aliposikia hayo, alizirarua nguo zake, akajivika nguo za magunia, akaingia katika nyumba ya BWANA.

Kusoma sura kamili Isa. 37

Mtazamo Isa. 37:1 katika mazingira