Isa. 37:12 SUV

12 Je! Miungu ya mataifa, ambao baba zangu waliwaangamiza, wamewaokoa? Gozani, na Harani, na Resefu, na wana wa Adini waliokuwa katika Telasari?

Kusoma sura kamili Isa. 37

Mtazamo Isa. 37:12 katika mazingira