Isa. 37:26 SUV

26 Je! Hukusikia? Ni mimi niliyeyatenda hayo tokea zamani, na kuyafanya tokea siku za kale; nikayatimiza sasa, iwe kazi yako kuangamiza miji yenye boma, ikawe chungu na magofu.

Kusoma sura kamili Isa. 37

Mtazamo Isa. 37:26 katika mazingira