Isa. 37:29 SUV

29 Kwa sababu ya kunighadhibikia kwako, na kwa sababu kutakabari kwako kumefika masikioni mwangu, nitatia kulabu yangu katika pua yako, na hatamu yangu midomoni mwako, nami nitakurudisha kwa njia ile ile uliyoijia.

Kusoma sura kamili Isa. 37

Mtazamo Isa. 37:29 katika mazingira