Isa. 38:3 SUV

3 akasema, Ee BWANA, kumbuka haya, nakusihi, kwamba nimekwenda mbele zako katika kweli na kwa moyo mkamilifu, na kutenda yaliyo mema machoni pako. Hezekia akalia sana sana.

Kusoma sura kamili Isa. 38

Mtazamo Isa. 38:3 katika mazingira