Isa. 38:5 SUV

5 Enenda ukamwambie Hezekia, BWANA, Mungu wa Daudi, baba yako, asema hivi, Mimi nimeyasikia maombi yako, nimeyaona machozi yako; tazama, nitaziongeza siku zako, kiasi cha miaka kumi na mitano.

Kusoma sura kamili Isa. 38

Mtazamo Isa. 38:5 katika mazingira