Isa. 39:1 SUV

1 Wakati huo Merodaki-baladani, mwana wa Baladani, mfalme wa Babeli, alipeleka barua na zawadi kwa Hezekia; kwa maana amepata habari kwamba amekuwa hawezi, na kwamba amepona.

Kusoma sura kamili Isa. 39

Mtazamo Isa. 39:1 katika mazingira