Isa. 40:2 SUV

2 Semeni na moyo wa Yerusalemu, kauambieni kwa sauti kuu ya kwamba vita vyake vimekwisha, uovu wake umeachiliwa; kwa kuwa amepokea kwa mkono wa BWANA adhabu maradufu kwa dhambi zake zote.

Kusoma sura kamili Isa. 40

Mtazamo Isa. 40:2 katika mazingira