Isa. 40:22 SUV

22 Yeye ndiye anayeketi juu ya duara ya dunia, na hao wanaokaa ndani yake huwa kama panzi; yeye ndiye azitandazaye mbingu kama pazia na kuzikunjua kama hema ya kukaliwa;

Kusoma sura kamili Isa. 40

Mtazamo Isa. 40:22 katika mazingira