Isa. 40:24 SUV

24 Naam, hawakupandwa; hawakutiwa katika ardhi kama mbegu; naam, shina lao halikutia mizizi katika ardhi; tena awapuzia tu, wakanyauka, upepo wa kisulisuli wawaondoa kama mabua makavu.

Kusoma sura kamili Isa. 40

Mtazamo Isa. 40:24 katika mazingira