Isa. 40:31 SUV

31 bali wao wamngojeao BWANA watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia.

Kusoma sura kamili Isa. 40

Mtazamo Isa. 40:31 katika mazingira