Isa. 40:4 SUV

4 Kila bonde litainuliwa,Na kila mlima na kilima kitashushwa;Palipopotoka patakuwa pamenyoka,Na palipoparuza patasawazishwa;

Kusoma sura kamili Isa. 40

Mtazamo Isa. 40:4 katika mazingira