Isa. 41:16 SUV

16 Utawapepeta, na upepo utawapeperusha; upepo wa kisulisuli utawatawanya; nawe utamfurahia BWANA, utajitukuza katika Mtakatifu wa Israeli.

Kusoma sura kamili Isa. 41

Mtazamo Isa. 41:16 katika mazingira