Isa. 41:25 SUV

25 Nimemwinua mtu toka kaskazini, naye amekuja; toka maawio ya jua amekuja anitajaye jina langu; naye atawajilia maliwali kama akanyagaye matope, na kama mfinyanzi afinyangaye udongo.

Kusoma sura kamili Isa. 41

Mtazamo Isa. 41:25 katika mazingira