Isa. 42:1 SUV

1 Tazama mtumishi wangu nimtegemezaye; mteule wangu, ambaye nafsi yangu imependezwa naye; nimetia roho yangu juu yake; naye atawatolea mataifa hukumu.

Kusoma sura kamili Isa. 42

Mtazamo Isa. 42:1 katika mazingira