Isa. 42:14 SUV

14 Siku nyingi nimenyamaza kimya; nimenyamaza, nikajizuia; sasa nitapiga kelele kama mwanamke aliye katika kuzaa; nitaugua na kutweta pamoja.

Kusoma sura kamili Isa. 42

Mtazamo Isa. 42:14 katika mazingira