Isa. 43:17 SUV

17 atoaye gari na farasi, jeshi la askari na uwezo; wamelala, hawataondoka; wametoweka, wamezimwa mfano wa utambi.

Kusoma sura kamili Isa. 43

Mtazamo Isa. 43:17 katika mazingira