Isa. 44:14 SUV

14 Yeye hujikatia mierezi, hutwaa mtiriza, na mwaloni, hujichagulia mti mmoja katika miti ya msituni; hupanda mvinje, mvua ikausitawisha.

Kusoma sura kamili Isa. 44

Mtazamo Isa. 44:14 katika mazingira