Isa. 44:21 SUV

21 Kumbuka haya, Ee Yakobo; nawe Israeli, maana wewe u mtumishi wangu; nimekuumba; u mtumishi wangu; Ee Israeli, hutasahauliwa na mimi.

Kusoma sura kamili Isa. 44

Mtazamo Isa. 44:21 katika mazingira