Isa. 44:24 SUV

24 BWANA, mkombozi wako, yeye aliyekuumba tumboni, asema hivi; Mimi ni BWANA, nifanyaye vitu vyote; nizitandaye mbingu peke yangu; niienezaye nchi; ni nani aliye pamoja nami?

Kusoma sura kamili Isa. 44

Mtazamo Isa. 44:24 katika mazingira