Isa. 44:26 SUV

26 nilithibitishaye neno la mtumishi wangu, na kuyafikiliza mashauri ya wajumbe wangu; niuambiaye Yerusalemu, Utakaliwa na watu, nayo miji ya Yuda, Itajengwa, nami nitapainua mahali pake palipobomoka;

Kusoma sura kamili Isa. 44

Mtazamo Isa. 44:26 katika mazingira