Isa. 44:3 SUV

3 Kwa maana nitamimina maji juu yake aliye na kiu, na vijito vya maji juu ya mahali pakavu; nitamwaga roho yangu juu ya wazao wako, na baraka yangu juu yao utakaowazaa;

Kusoma sura kamili Isa. 44

Mtazamo Isa. 44:3 katika mazingira