Isa. 44:6 SUV

6 BWANA, Mfalme wa Israeli, Mkombozi wako, BWANA wa majeshi, asema hivi; Mimi ni wa kwanza, na mimi ni wa mwisho; zaidi yangu mimi hapana Mungu.

Kusoma sura kamili Isa. 44

Mtazamo Isa. 44:6 katika mazingira