Isa. 44:9 SUV

9 Wachongao sanamu, wote ni ubatili; wala mambo yao yawapendezayo hayatafaa kitu; wala mashahidi wao wenyewe hawaoni, wala hawajui; ili watahayarike.

Kusoma sura kamili Isa. 44

Mtazamo Isa. 44:9 katika mazingira