Isa. 45:1 SUV

1 Haya ndiyo BWANA amwambiayo Koreshi, masihi wake, ambaye nimemshika mkono wake wa kuume, ili kutiisha mataifa mbele yake, nami nitalegeza viuno vya wafalme; ili kufungua milango mbele yake, hata malango hayatafungwa.

Kusoma sura kamili Isa. 45

Mtazamo Isa. 45:1 katika mazingira