Isa. 45:12 SUV

12 Mimi nimeiumba dunia, nimemhuluku mwanadamu juu yake; Mimi, naam, mikono yangu mimi, imezitanda mbingu, na jeshi lake lote nimeliamuru.

Kusoma sura kamili Isa. 45

Mtazamo Isa. 45:12 katika mazingira