Isa. 45:19 SUV

19 Sikusema kwa siri, katika mahali pa nchi ya giza; sikuwaambia wazao wa Yakobo; Nitafuteni bure; Mimi, BWANA, nasema haki; nanena mambo ya adili.

Kusoma sura kamili Isa. 45

Mtazamo Isa. 45:19 katika mazingira