Isa. 45:22 SUV

22 Niangalieni mimi, mkaokolewe, enyi ncha zote za dunia; maana mimi ni Mungu; hapana mwingine.

Kusoma sura kamili Isa. 45

Mtazamo Isa. 45:22 katika mazingira