Isa. 45:3 SUV

3 nami nitakupa hazina za gizani, na mali zilizofichwa za mahali pa siri, upate kujua ya kuwa mimi ni BWANA, nikuitaye kwa jina lako, naam, Mungu wa Israeli.

Kusoma sura kamili Isa. 45

Mtazamo Isa. 45:3 katika mazingira