Isa. 46:11 SUV

11 Nikiita ndege mkali kutoka mashariki, mtu wa shauri langu toka nchi iliyo mbali; naam, nimenena, nami nitatekeleza; nimekusudia, nami nitafanya.

Kusoma sura kamili Isa. 46

Mtazamo Isa. 46:11 katika mazingira