Isa. 46:7 SUV

7 Humchukua begani, humchukua, wakamsimamisha mahali pake, akasimama; hataondoka katika mahali pake, naam, mmoja atamwita, lakini hawezi kujibu, wala kumwokoa na taabu yake.

Kusoma sura kamili Isa. 46

Mtazamo Isa. 46:7 katika mazingira