Isa. 47:10 SUV

10 Maana umeutumainia ubaya wako; umesema, Hapana anionaye; hekima yako, na maarifa yako yamekupotosha, nawe umesema moyoni mwako, Mimi ndiye, wala hapana mwingine zaidi yangu mimi.

Kusoma sura kamili Isa. 47

Mtazamo Isa. 47:10 katika mazingira