Isa. 48:11 SUV

11 Kwa ajili ya nafsi yangu, kwa ajili ya nafsi yangu, nitatenda haya; je! Litiwe unajisi jina langu? Wala sitampa mwingine utukufu wangu.

Kusoma sura kamili Isa. 48

Mtazamo Isa. 48:11 katika mazingira