Isa. 48:5 SUV

5 basi nimekuonyesha tangu zamani; kabla hayajatukia nalikuonyesha; usije ukasema, Sanamu yangu imetenda haya; sanamu yangu ya kuchonga, na sanamu yangu ya kuyeyusha, imeyaamuru.

Kusoma sura kamili Isa. 48

Mtazamo Isa. 48:5 katika mazingira