Isa. 49:1 SUV

1 Nisikilizeni, enyi visiwa; tegeni masikio yenu, enyi kabila za watu mlio mbali sana; BWANA ameniita tangu tumboni; toka tumbo la mama yangu amenitaja jina langu.

Kusoma sura kamili Isa. 49

Mtazamo Isa. 49:1 katika mazingira