Isa. 49:10 SUV

10 Hawataona njaa, wala hawataona kiu; hari haitawapiga, wala jua; kwa maana yeye aliyewarehemu atawatangulia, naam, karibu na chemchemi za maji atawaongoza.

Kusoma sura kamili Isa. 49

Mtazamo Isa. 49:10 katika mazingira