Isa. 49:13 SUV

13 Imbeni, enyi mbingu; ufurahi, Ee nchi;Pazeni sauti ya kuimba, enyi milima;Kwa kuwa BWANA amewafariji watu wake,Naye atawahurumia watu wake walioteswa.

Kusoma sura kamili Isa. 49

Mtazamo Isa. 49:13 katika mazingira