Isa. 49:15 SUV

15 Je! Mwanamke aweza kumsahau mtoto wake anyonyaye, hata asimhurumie mwana wa tumbo lake? Naam, hawa waweza kusahau, lakini mimi sitakusahau wewe.

Kusoma sura kamili Isa. 49

Mtazamo Isa. 49:15 katika mazingira